Mwenge wa uhuru ukiwasili katika
uwanja wa kilele cha mbio za mwenge kitaifa uwanja wa Samora
ukitokea viwanja vya mkesha Mwembetogwa ambako ulikesha kwa
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa
Viongozi wa serikali ya mkoa wa Iringa na wananchi wakisubiri kupokea mwenge kutoka Manispaa ya Iringa leo
Ulinzi mkali uwanja wa samora leo
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine
Ishengoma kulia akipokea mwenge kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Iringa Dr
Leticia Warioba baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kumaliza
mbio hizo kwa kuzindua miradi 8 yenye thamani ya Tsh milioni 940.2
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Ishengoma akiwa amepokea mwenge huo tayari kluukabidhi Taifa
Viongozi wa Kitaifa wakiongozwa na
waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Dr Fenela Mkangala wa
tatu kulia wakisubiri kukabidhiwa mwenge leo uwanja wa samora
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Ishengoma akisoma taarifa ya miradi iliyopitiwa na mbio za mwenge mwaka 2013
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Ishengoma akijiandaa kumkabidhi mwenge waziri Dr Mkangala leo uwanja wa Samora
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine
Ishengoma kulia akimkabidhi mwenge wa uhuru waziri Dr Mkangala leo
uwanja wa Samora kabla ya waziri huyo kuukabidhi mwenge huo kwa
vijana ili kuja kuukabidhi kwa rais Dr Kikwete kwa kuuzima mapema leo
Waziri Dr Mkangala akivipongeza vyombo vya ulinzi mkoa wa Iringa
kamanda wa polisi mkoa wa Iringa
Ramadhan Mungi kulia akimpongeza mkuu wa FFU mkoa wa Iringa S.A Mnunka
kwa kazi nzuri ya kukimbiza mwenge vizuri mkoa wa Iringa
Waziri Dr Mkangala kulia akiwa na viongozi wa mkoa wa Iringa leo
Chanzo: www.matukiodaima.com
No comments:
Post a Comment