Ndege aina ya Cessna 5H-QTT ikiwa imeanguka eneo la Kisongo, karibu na
Uwanja wa Ndege Arusha juzi jioni, baada ya kugonga mti wakati
ikijiandaa kutua na kusababisha kifo cha mmiliki wake na aliyekuwa
rubani, Bob Sambeke(katika picha ndogo juu). Picha na Filbert Rweyemamu
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment