
mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa
Mbeya Christopher Nyanyembe akiomba kura katika nafasi ya ujumbe wa bodi ambayo
amepita kwa kura 33 kati ya 64 zilizopigwa

Bw.Deus Buganywa akiomba kura kuwa mjumbe wa bodi leo
na kushinda kwa kura 26 kati ya 64 zilizopigwa hivyo kuwa mjumbe katika nafasi
hiyo iliyoombwa na wajumbe 7 akiwemo Masau Bwile aliyepata kura (13),Emanuel
Bwibo (15),Beny Mwaipaja (15) Andrew Kuchochoma (11)na Hashim Hasan (15)
No comments:
Post a Comment