Wateja wakiangalia vyungu vya kupikia na mapambo ya
ndani na nje ya nyumba, yaliyotengenezwa kwa udongo, katika kijiji cha Lungemba
katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Mteja akichagua moja ya chungu kwa ajili ya shughuli
zake nyumbani, kila sanaa ina bei yake kulingana na ukubwa, urembo na
ubunifu.
Mfinyanzi akisubiri wateja, kama alivyokutwa,
wafinyanzi hao wamekuwa wakitengeneza vitu mbalimbali kwa kutumia udongo
mfinyanzi na hivyo kujitengenezea ajira kutokana na kazi hiyo kuwainggizia
kipato.
Mfinyanzi wa sanaa hizo za udongo akimuonyesha mteja
moja ya kazi yake ya mikono, ambayo huitengeneza kwa udongo.
No comments:
Post a Comment