Friday, July 6, 2012

UN haitafadhili jeshi kukomboa Mali

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linasema haliko tayari kuunga mkono harakati za jeshi la kanda ya Afrika Magharibi kukabiliana na wapiganaji wa Kiisilamu ambao wameteka kaskazini mwa Mali.

No comments:

Post a Comment